Hesabu 34:10
Numbers 34:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“ ‘Kwa mpaka wenu wa mashariki, wekeni alama kuanzia Hasar-Enani hadi Shefamu.
Numbers 34:10 in English
Numbers 34:10 · Berean Standard Bible
And your eastern border will run straight from Hazar-enan to Shepham,
Context
8na kutoka mlima Hori hadi Pito la Hamathi. Kisha mpaka utaenda hadi Sedadi, 9kuendelea hadi Zifroni, na kuishia Hasar-Enani. Huu utakuwa mpaka wenu upande wa kaskazini. 10“ ‘Kwa mpaka wenu wa mashariki, wekeni alama kuanzia Hasar-Enani hadi Shefamu. 11Mpaka utaelekea kusini kuanzia Shefamu hadi Ribla upande wa mashariki wa Aini, na kuendelea kwenye miteremko mashariki mwa Bahari ya Kinerethi.* 12Kisha mpaka utashuka kuelekea Mto Yordani na kuishia katika Bahari ya Chumvi.
“ ‘Hii itakuwa nchi yenu, ikiwa na mipaka yake kila upande.’ ”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.