Hesabu 34:14
Numbers 34:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa sababu jamaa ya kabila la Reubeni, kabila la Gadi, na nusu ya kabila la Manase wamekwishapokea urithi wao.
Numbers 34:14 in English
Numbers 34:14 · Berean Standard Bible
For the tribes of the Reubenites and Gadites, along with the half-tribe of Manasseh, have already received their inheritance.
Context
12Kisha mpaka utashuka kuelekea Mto Yordani na kuishia katika Bahari ya Chumvi.
“ ‘Hii itakuwa nchi yenu, ikiwa na mipaka yake kila upande.’ ” 13Mose akawaamuru Waisraeli: “Gawanyeni nchi hii kwa kura kama urithi. Bwana ameagiza kwamba itolewe kwa yale makabila tisa na nusu, 14kwa sababu jamaa ya kabila la Reubeni, kabila la Gadi, na nusu ya kabila la Manase wamekwishapokea urithi wao. 15Haya makabila mawili na nusu wamekwishapokea urithi wao upande wa mashariki wa Yordani ngʼambo ya Yeriko, kuelekea mawio ya jua.” 16Bwana akamwambia Mose,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.