Hesabu 33:36
Numbers 33:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakaondoka Esion-Geberi na kupiga kambi huko Kadeshi katika Jangwa la Sini.
Numbers 33:36 in English
Numbers 33:36 · Berean Standard Bible
They set out from Ezion-geber and camped at Kadesh in the Wilderness of Zin.
Context
34Wakaondoka Yotbatha na kupiga kambi huko Abrona. 35Wakaondoka Abrona na kupiga kambi huko Esion-Geberi. 36Wakaondoka Esion-Geberi na kupiga kambi huko Kadeshi katika Jangwa la Sini. 37Wakaondoka Kadeshi na kupiga kambi kwenye Mlima Hori, mpakani mwa Edomu. 38Kwa amri ya Bwana, kuhani Aroni alipanda Mlima Hori, mahali alipofia katika siku ya kwanza ya mwezi wa tano, mwaka wa arobaini baada ya Waisraeli kutoka Misri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.