Hesabu 33:37
Numbers 33:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakaondoka Kadeshi na kupiga kambi kwenye Mlima Hori, mpakani mwa Edomu.
Numbers 33:37 in English
Numbers 33:37 · Berean Standard Bible
They set out from Kadesh and camped at Mount Hor, on the outskirts of the land of Edom.
Context
35Wakaondoka Abrona na kupiga kambi huko Esion-Geberi. 36Wakaondoka Esion-Geberi na kupiga kambi huko Kadeshi katika Jangwa la Sini. 37Wakaondoka Kadeshi na kupiga kambi kwenye Mlima Hori, mpakani mwa Edomu. 38Kwa amri ya Bwana, kuhani Aroni alipanda Mlima Hori, mahali alipofia katika siku ya kwanza ya mwezi wa tano, mwaka wa arobaini baada ya Waisraeli kutoka Misri. 39Aroni alikufa juu ya Mlima Hori akiwa na umri wa miaka 123.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.