Native Bible

Numbers 33:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakaondoka Abrona na kupiga kambi huko Esion-Geberi.

Numbers 33:35 in English

Numbers 33:35 · Berean Standard Bible

They set out from Abronah and camped at Ezion-geber.

Context

33Wakaondoka Hor-Hagidgadi na kupiga kambi huko Yotbatha. 34Wakaondoka Yotbatha na kupiga kambi huko Abrona. 35Wakaondoka Abrona na kupiga kambi huko Esion-Geberi. 36Wakaondoka Esion-Geberi na kupiga kambi huko Kadeshi katika Jangwa la Sini. 37Wakaondoka Kadeshi na kupiga kambi kwenye Mlima Hori, mpakani mwa Edomu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.