Hesabu 33:34
Numbers 33:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakaondoka Yotbatha na kupiga kambi huko Abrona.
Numbers 33:34 in English
Numbers 33:34 · Berean Standard Bible
They set out from Jotbathah and camped at Abronah.
Context
32Wakaondoka Bene-Yakani na kupiga kambi huko Hor-Hagidgadi. 33Wakaondoka Hor-Hagidgadi na kupiga kambi huko Yotbatha. 34Wakaondoka Yotbatha na kupiga kambi huko Abrona. 35Wakaondoka Abrona na kupiga kambi huko Esion-Geberi. 36Wakaondoka Esion-Geberi na kupiga kambi huko Kadeshi katika Jangwa la Sini.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.