Native Bible

Numbers 31:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ngʼombe 36,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa ngʼombe 72;

Numbers 31:38 in English

Numbers 31:38 · Berean Standard Bible

36,000 cattle, including a tribute to the LORD of 72,

Context

36Nusu ya fungu la wale waliokwenda kupigana vitani lilikuwa: Kondoo 337,500 37ambayo ushuru kwa ajili ya Bwana ilikuwa kondoo 675; 38ngʼombe 36,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa ngʼombe 72; 39punda 30,500 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa punda 61; 40Watu 16,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa watu 32.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.