Hesabu 31:37
Numbers 31:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ambayo ushuru kwa ajili ya Bwana ilikuwa kondoo 675;
Numbers 31:37 in English
Numbers 31:37 · Berean Standard Bible
including a tribute to the LORD of 675,
Context
35na wanawake 32,000 ambao hawakumjua mume kwa kufanya tendo la ndoa. 36Nusu ya fungu la wale waliokwenda kupigana vitani lilikuwa:
Kondoo 337,500 37ambayo ushuru kwa ajili ya Bwana ilikuwa kondoo 675; 38ngʼombe 36,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa ngʼombe 72; 39punda 30,500 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa punda 61;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.