Native Bible

Numbers 31:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na wanawake 32,000 ambao hawakumjua mume kwa kufanya tendo la ndoa.

Numbers 31:35 in English

Numbers 31:35 · Berean Standard Bible

and 32,000 women who had not slept with a man.

Context

33ngʼombe 72,000, 34punda 61,000, 35na wanawake 32,000 ambao hawakumjua mume kwa kufanya tendo la ndoa. 36Nusu ya fungu la wale waliokwenda kupigana vitani lilikuwa: Kondoo 337,500 37ambayo ushuru kwa ajili ya Bwana ilikuwa kondoo 675;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.