Native Bible

Numbers 31:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ngʼombe 72,000,

Numbers 31:33 in English

Context

31Kwa hiyo Mose na kuhani Eleazari wakafanya kama Bwana alivyomwagiza Mose. 32Nyara zilizobaki kutoka mateka ambayo askari walichukua ni kondoo 675,000, 33ngʼombe 72,000, 34punda 61,000, 35na wanawake 32,000 ambao hawakumjua mume kwa kufanya tendo la ndoa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.