Hesabu 31:32
Numbers 31:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nyara zilizobaki kutoka mateka ambayo askari walichukua ni kondoo 675,000,
Numbers 31:32 in English
Numbers 31:32 · Berean Standard Bible
and this plunder remained from the spoils the soldiers had taken: 675,000 sheep,
Context
30Kutoka fungu la Waisraeli, chukua kitu kimoja kati ya kila hamsini, ikiwa ni wanadamu, ngʼombe, punda, kondoo, mbuzi au wanyama wengine. Hivyo uwape Walawi, ambao wanawajibika kutunza Maskani ya Bwana.” 31Kwa hiyo Mose na kuhani Eleazari wakafanya kama Bwana alivyomwagiza Mose. 32Nyara zilizobaki kutoka mateka ambayo askari walichukua ni kondoo 675,000, 33ngʼombe 72,000, 34punda 61,000,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.