Native Bible

Numbers 31:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nusu ya fungu la wale waliokwenda kupigana vitani lilikuwa: Kondoo 337,500

Numbers 31:36 in English

Numbers 31:36 · Berean Standard Bible

This was the half portion for those who had gone to war: 337,500 sheep,

Context

34punda 61,000, 35na wanawake 32,000 ambao hawakumjua mume kwa kufanya tendo la ndoa. 36Nusu ya fungu la wale waliokwenda kupigana vitani lilikuwa: Kondoo 337,500 37ambayo ushuru kwa ajili ya Bwana ilikuwa kondoo 675; 38ngʼombe 36,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa ngʼombe 72;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.