Hesabu 31:39
Numbers 31:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
punda 30,500 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa punda 61;
Numbers 31:39 in English
Numbers 31:39 · Berean Standard Bible
30,500 donkeys, including a tribute to the LORD of 61,
Context
37ambayo ushuru kwa ajili ya Bwana ilikuwa kondoo 675; 38ngʼombe 36,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa ngʼombe 72; 39punda 30,500 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa punda 61; 40Watu 16,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa watu 32. 41Mose alimpa kuhani Eleazari ushuru kama sehemu ya Bwana, kama Bwana alivyomwagiza Mose.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.