Hesabu 31:40
Numbers 31:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watu 16,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa watu 32.
Numbers 31:40 in English
Numbers 31:40 · Berean Standard Bible
and 16,000 people, including a tribute to the LORD of 32.
Context
38ngʼombe 36,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa ngʼombe 72; 39punda 30,500 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa punda 61; 40Watu 16,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa watu 32. 41Mose alimpa kuhani Eleazari ushuru kama sehemu ya Bwana, kama Bwana alivyomwagiza Mose. 42Ile nusu iliyokuwa ya Waisraeli, ambayo Mose aliitenga kutoka kwa ile ya watu waliokwenda vitani,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.