Native Bible

Numbers 31:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ile nusu iliyokuwa ya Waisraeli, ambayo Mose aliitenga kutoka kwa ile ya watu waliokwenda vitani,

Numbers 31:42 in English

Numbers 31:42 · Berean Standard Bible

From the Israelites’ half, which Moses had set apart from the men who had gone to war,

Context

40Watu 16,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa watu 32. 41Mose alimpa kuhani Eleazari ushuru kama sehemu ya Bwana, kama Bwana alivyomwagiza Mose. 42Ile nusu iliyokuwa ya Waisraeli, ambayo Mose aliitenga kutoka kwa ile ya watu waliokwenda vitani, 43nusu iliyokuwa ya jumuiya, ilikuwa kondoo 337,500, 44ngʼombe 36,000,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.