Native Bible

Numbers 31:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

nusu iliyokuwa ya jumuiya, ilikuwa kondoo 337,500,

Numbers 31:43 in English

Numbers 31:43 · Berean Standard Bible

this half belonged to the congregation: 337,500 sheep,

Context

41Mose alimpa kuhani Eleazari ushuru kama sehemu ya Bwana, kama Bwana alivyomwagiza Mose. 42Ile nusu iliyokuwa ya Waisraeli, ambayo Mose aliitenga kutoka kwa ile ya watu waliokwenda vitani, 43nusu iliyokuwa ya jumuiya, ilikuwa kondoo 337,500, 44ngʼombe 36,000, 45punda 30,500,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.