Hesabu 27:6
Numbers 27:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
naye Bwana akamwambia Mose,
Numbers 27:6 in English
Numbers 27:6 · Berean Standard Bible
and the LORD answered him,
Context
4Kwa nini jina la baba yetu lifutike kutoka ukoo wake kwa sababu hakuwa na mwana? Tupatie milki miongoni mwa ndugu za baba yetu.” 5Kwa hiyo Mose akalileta shauri lao mbele za Bwana, 6naye Bwana akamwambia Mose, 7“Wanachosema binti za Selofehadi ni sawa. Ni lazima kwa hakika uwape milki kama urithi miongoni mwa ndugu za baba yao, na kubadili urithi wa baba yao uwe wao. 8“Waambie Waisraeli, ‘Ikiwa mtu atakufa naye hakuacha mwana, utampa binti yake urithi wake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.