Hesabu 27:5
Numbers 27:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo Mose akalileta shauri lao mbele za Bwana,
Numbers 27:5 in English
Numbers 27:5 · Berean Standard Bible
So Moses brought their case before the LORD,
Context
3“Baba yetu alikufa jangwani. Hakuwa miongoni mwa wafuasi wa Kora, ambao walifungamana pamoja dhidi ya Bwana, lakini alikufa kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe na hakuacha wana. 4Kwa nini jina la baba yetu lifutike kutoka ukoo wake kwa sababu hakuwa na mwana? Tupatie milki miongoni mwa ndugu za baba yetu.” 5Kwa hiyo Mose akalileta shauri lao mbele za Bwana, 6naye Bwana akamwambia Mose, 7“Wanachosema binti za Selofehadi ni sawa. Ni lazima kwa hakika uwape milki kama urithi miongoni mwa ndugu za baba yao, na kubadili urithi wa baba yao uwe wao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.