Native Bible

Numbers 24:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kama mabonde, yanaenea, kama bustani kando ya mto, kama miti ya udi iliyopandwa na Bwana, kama mierezi kando ya maji.

Numbers 24:6 in English

Numbers 24:6 · Berean Standard Bible

They spread out like palm groves,* like gardens beside a stream, like aloes the LORD has planted, like cedars beside the waters.

Context

4ujumbe wake yeye ambaye husikia maneno ya Mungu, ambaye huona maono kutoka kwa Mwenyezi,* ambaye huanguka kifudifudi, na ambaye macho yake yamefunguka: 5“Tazama jinsi yalivyo mazuri mahema yako, ee Yakobo, maskani yako, ee Israeli! 6“Kama mabonde, yanaenea, kama bustani kando ya mto, kama miti ya udi iliyopandwa na Bwana, kama mierezi kando ya maji. 7Maji yatatiririka kutoka ndoo zake; mbegu yake itakuwa na maji tele. “Mfalme wake atakuwa mkuu kuliko Mfalme Agagi; ufalme wake utatukuka. 8“Mungu alimleta kutoka Misri; yeye ana nguvu kama nyati. Anayararua mataifa yaliyo adui zake, na kuvunja mifupa yao vipande vipande; huwachoma kwa mishale yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.