Native Bible

Numbers 24:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ujumbe wake yeye ambaye husikia maneno ya Mungu, ambaye huona maono kutoka kwa Mwenyezi,* ambaye huanguka kifudifudi, na ambaye macho yake yamefunguka:

Numbers 24:4 in English

Numbers 24:4 · Berean Standard Bible

the prophecy of one who hears the words of God, who sees a vision from the Almighty,* who bows down with eyes wide open:

Context

2Balaamu alipotazama nje na kuona Israeli amepiga kambi kabila kwa kabila, Roho wa Mungu akawa juu yake, 3naye akatoa ujumbe wake: “Ujumbe wa Balaamu mwana wa Beori, ujumbe wake yeye ambaye jicho lake linaona vizuri; 4ujumbe wake yeye ambaye husikia maneno ya Mungu, ambaye huona maono kutoka kwa Mwenyezi,* ambaye huanguka kifudifudi, na ambaye macho yake yamefunguka: 5“Tazama jinsi yalivyo mazuri mahema yako, ee Yakobo, maskani yako, ee Israeli! 6“Kama mabonde, yanaenea, kama bustani kando ya mto, kama miti ya udi iliyopandwa na Bwana, kama mierezi kando ya maji.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.