Native Bible

Numbers 24:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo akatoa ujumbe wake: “Lo, ni nani atakayeweza kuishi wakati Mungu atakapofanya hili?

Numbers 24:23 in English

Numbers 24:23 · Berean Standard Bible

Once more Balaam lifted up an oracle, saying: “Ah, who can live unless God has ordained it?

Context

21Kisha akawaona Wakeni, akatoa ujumbe wake: “Makao yenu ni salama, kiota chenu kiko kwenye mwamba. 22Hata hivyo ninyi Wakeni mtaangamizwa Ashuru atakapowachukua mateka.” 23Ndipo akatoa ujumbe wake: “Lo, ni nani atakayeweza kuishi wakati Mungu atakapofanya hili? 24Meli zitakuja kutoka pwani za Kitimu, zitaitiisha Ashuru na Eberi, lakini nao pia wataangamizwa.” 25Kisha Balaamu akainuka na kurudi nyumbani kwake, naye Balaki akashika njia yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.