Hesabu 24:21
Numbers 24:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha akawaona Wakeni, akatoa ujumbe wake: “Makao yenu ni salama, kiota chenu kiko kwenye mwamba.
Numbers 24:21 in English
Numbers 24:21 · Berean Standard Bible
Next he saw the Kenites and lifted up an oracle, saying: “Your dwelling place is secure, and your nest is set in a cliff.
Context
19Mtawala atakuja kutoka kwa Yakobo
na kuangamiza walionusurika katika mji.” 20Kisha Balaamu akawaona watu wa Amaleki, na kutoa ujumbe wake:
“Amaleki ilikuwa ya kwanza miongoni mwa mataifa,
lakini mwisho wake itaangamizwa milele.” 21Kisha akawaona Wakeni, akatoa ujumbe wake:
“Makao yenu ni salama,
kiota chenu kiko kwenye mwamba. 22Hata hivyo ninyi Wakeni mtaangamizwa
Ashuru atakapowachukua mateka.” 23Ndipo akatoa ujumbe wake:
“Lo, ni nani atakayeweza kuishi wakati Mungu atakapofanya hili?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.