Native Bible

Numbers 24:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata hivyo ninyi Wakeni mtaangamizwa Ashuru atakapowachukua mateka.”

Numbers 24:22 in English

Numbers 24:22 · Berean Standard Bible

Yet Kain will be destroyed when Asshur * takes you captive.”

Context

20Kisha Balaamu akawaona watu wa Amaleki, na kutoa ujumbe wake: “Amaleki ilikuwa ya kwanza miongoni mwa mataifa, lakini mwisho wake itaangamizwa milele.” 21Kisha akawaona Wakeni, akatoa ujumbe wake: “Makao yenu ni salama, kiota chenu kiko kwenye mwamba. 22Hata hivyo ninyi Wakeni mtaangamizwa Ashuru atakapowachukua mateka.” 23Ndipo akatoa ujumbe wake: “Lo, ni nani atakayeweza kuishi wakati Mungu atakapofanya hili? 24Meli zitakuja kutoka pwani za Kitimu, zitaitiisha Ashuru na Eberi, lakini nao pia wataangamizwa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.