Native Bible

Numbers 24:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Balaamu akawaona watu wa Amaleki, na kutoa ujumbe wake: “Amaleki ilikuwa ya kwanza miongoni mwa mataifa, lakini mwisho wake itaangamizwa milele.”

Numbers 24:20 in English

Numbers 24:20 · Berean Standard Bible

Then Balaam saw Amalek and lifted up an oracle, saying: “Amalek was first among the nations, but his end is destruction.”

Context

18Edomu itamilikiwa, Seiri, adui wake, itamilikiwa, lakini Israeli atakuwa na nguvu. 19Mtawala atakuja kutoka kwa Yakobo na kuangamiza walionusurika katika mji.” 20Kisha Balaamu akawaona watu wa Amaleki, na kutoa ujumbe wake: “Amaleki ilikuwa ya kwanza miongoni mwa mataifa, lakini mwisho wake itaangamizwa milele.” 21Kisha akawaona Wakeni, akatoa ujumbe wake: “Makao yenu ni salama, kiota chenu kiko kwenye mwamba. 22Hata hivyo ninyi Wakeni mtaangamizwa Ashuru atakapowachukua mateka.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.