Native Bible

Numbers 24:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Balaamu akainuka na kurudi nyumbani kwake, naye Balaki akashika njia yake.

Numbers 24:25 in English

Numbers 24:25 · Berean Standard Bible

Then Balaam arose and returned to his homeland, and Balak also went on his way.

Context

23Ndipo akatoa ujumbe wake: “Lo, ni nani atakayeweza kuishi wakati Mungu atakapofanya hili? 24Meli zitakuja kutoka pwani za Kitimu, zitaitiisha Ashuru na Eberi, lakini nao pia wataangamizwa.” 25Kisha Balaamu akainuka na kurudi nyumbani kwake, naye Balaki akashika njia yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.