Hesabu 23:22
Numbers 23:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mungu aliwatoa kutoka Misri; wao wana nguvu za nyati.
Numbers 23:22 in English
Numbers 23:22 · Berean Standard Bible
God brought them out of Egypt with strength like a wild ox.
Context
20Nimepokea agizo kubariki;
amebariki, nami siwezi kubadilisha. 21“Haijaonekana bahati mbaya katika Yakobo,
wala taabu katika Israeli.
Bwana, Mungu wao yu pamoja nao,
nayo sauti kuu ya Mfalme imo katikati yao. 22Mungu aliwatoa kutoka Misri;
wao wana nguvu za nyati. 23Hakuna uchawi dhidi ya Yakobo,
wala hakuna uaguzi dhidi ya Israeli.
Sasa itasemwa kuhusu Yakobo
na Israeli, ‘Tazama yale Mungu aliyotenda!’ 24Taifa lainuka kama simba jike;
linajiinua kama simba
ambaye hatulii mpaka amalize kurarua mawindo yake
na kunywa damu ya mawindo yake.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.