Native Bible

Numbers 16:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mara Mose alipomaliza kusema haya yote, ardhi iliyokuwa chini yao ikapasuka,

Numbers 16:31 in English

Numbers 16:31 · Berean Standard Bible

As soon as Moses had finished saying all this, the ground beneath them split open,

Context

29Ikiwa watu hawa watakufa kifo cha kawaida na kupatwa na yale ya kawaida yanayowapata wanadamu, basi Bwana hakunituma mimi. 30Lakini ikiwa Bwana ataleta jambo jipya kabisa, ardhi ikifunua kinywa chake na kuwameza wao, pamoja na kila kitu kilicho mali yao, nao washuke chini kaburini* wakiwa hai, ndipo mtafahamu kuwa watu hawa wamemdharau Bwana.” 31Mara Mose alipomaliza kusema haya yote, ardhi iliyokuwa chini yao ikapasuka, 32nchi ikafunua kinywa chake na kuwameza wao, pamoja na jamaa zao, na watu wote wa Kora na mali zao zote. 33Wakashuka chini kaburini wakiwa hai, pamoja na kila kitu walichokuwa nacho; nchi ikajifunika juu yao, nao wakaangamia wakatoweka kutoka kusanyiko.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.