Hesabu 13:5
Numbers 13:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kutoka kabila la Simeoni, Shafati mwana wa Hori;
Numbers 13:5 in English
Numbers 13:5 · Berean Standard Bible
from the tribe of Simeon, Shaphat son of Hori;
Context
3Hivyo kwa agizo la Bwana Mose akawatuma kutoka Jangwa la Parani. Wote walikuwa viongozi wa Waisraeli. 4Haya ndiyo majina yao:
kutoka kabila la Reubeni, Shamua mwana wa Zakuri; 5kutoka kabila la Simeoni, Shafati mwana wa Hori; 6kutoka kabila la Yuda, Kalebu mwana wa Yefune; 7kutoka kabila la Isakari, Igali mwana wa Yosefu;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.