Native Bible

Numbers 13:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kutoka kabila la Yuda, Kalebu mwana wa Yefune;

Numbers 13:6 in English

Numbers 13:6 · Berean Standard Bible

from the tribe of Judah, Caleb son of Jephunneh;

Context

4Haya ndiyo majina yao: kutoka kabila la Reubeni, Shamua mwana wa Zakuri; 5kutoka kabila la Simeoni, Shafati mwana wa Hori; 6kutoka kabila la Yuda, Kalebu mwana wa Yefune; 7kutoka kabila la Isakari, Igali mwana wa Yosefu; 8kutoka kabila la Efraimu, Hoshea mwana wa Nuni;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.