Hesabu 13:3
Numbers 13:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo kwa agizo la Bwana Mose akawatuma kutoka Jangwa la Parani. Wote walikuwa viongozi wa Waisraeli.
Numbers 13:3 in English
Numbers 13:3 · Berean Standard Bible
So at the consent * of the LORD, Moses sent them out from the Wilderness of Paran. All the men were leaders of the Israelites,
Context
1Bwana akamwambia Mose, 2“Watume baadhi ya watu wakaipeleleze nchi ya Kanaani, ambayo ninawapa Waisraeli. Kutoka kwa kila kabila la baba zao, tuma mmoja wa viongozi wao.” 3Hivyo kwa agizo la Bwana Mose akawatuma kutoka Jangwa la Parani. Wote walikuwa viongozi wa Waisraeli. 4Haya ndiyo majina yao:
kutoka kabila la Reubeni, Shamua mwana wa Zakuri; 5kutoka kabila la Simeoni, Shafati mwana wa Hori;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.