Native Bible

Numbers 13:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Haya ndiyo majina ya watu ambao Mose aliwatuma kuipeleleza nchi. (Mose akampa Hoshea mwana wa Nuni jina Yoshua.)

Numbers 13:16 in English

Numbers 13:16 · Berean Standard Bible

These were the names of the men Moses sent to spy out the land; and Moses gave to Hoshea son of Nun the name Joshua.

Context

14kutoka kabila la Naftali, Nabi mwana wa Wofsi; 15kutoka kabila la Gadi, Geueli mwana wa Maki. 16Haya ndiyo majina ya watu ambao Mose aliwatuma kuipeleleza nchi. (Mose akampa Hoshea mwana wa Nuni jina Yoshua.) 17Mose alipowatuma wakaipeleleze Kanaani, alisema, “Pandeni kupitia Negebu, mwende mpaka nchi ya vilima. 18Mwone nchi ni ya namna gani, na kama watu waishio humo wana nguvu au ni wadhaifu, iwapo ni wachache au wengi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.