Native Bible

Numbers 13:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kutoka kabila la Naftali, Nabi mwana wa Wofsi;

Numbers 13:14 in English

Numbers 13:14 · Berean Standard Bible

from the tribe of Naphtali, Nahbi son of Vophsi;

Context

12kutoka kabila la Dani, Amieli mwana wa Gemali; 13kutoka kabila la Asheri, Sethuri mwana wa Mikaeli; 14kutoka kabila la Naftali, Nabi mwana wa Wofsi; 15kutoka kabila la Gadi, Geueli mwana wa Maki. 16Haya ndiyo majina ya watu ambao Mose aliwatuma kuipeleleza nchi. (Mose akampa Hoshea mwana wa Nuni jina Yoshua.)

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.