Native Bible

Numbers 13:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kutoka kabila la Gadi, Geueli mwana wa Maki.

Numbers 13:15 in English

Numbers 13:15 · Berean Standard Bible

and from the tribe of Gad, Geuel son of Machi.

Context

13kutoka kabila la Asheri, Sethuri mwana wa Mikaeli; 14kutoka kabila la Naftali, Nabi mwana wa Wofsi; 15kutoka kabila la Gadi, Geueli mwana wa Maki. 16Haya ndiyo majina ya watu ambao Mose aliwatuma kuipeleleza nchi. (Mose akampa Hoshea mwana wa Nuni jina Yoshua.) 17Mose alipowatuma wakaipeleleze Kanaani, alisema, “Pandeni kupitia Negebu, mwende mpaka nchi ya vilima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.