Native Bible

Numbers 12:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hasira ya Bwana ikawaka dhidi yao, akawaacha.

Numbers 12:9 in English

Numbers 12:9 · Berean Standard Bible

So the anger of the LORD burned against them, and He departed.

Context

7Lakini sivyo kwa mtumishi wangu Mose; yeye ni mwaminifu katika nyumba yangu yote. 8Kwake nitanena naye uso kwa uso, waziwazi wala si kwa mafumbo; yeye ataona umbo la Bwana. Kwa nini basi ninyi hamkuogopa kuzungumza kinyume cha mtumishi wangu Mose?” 9Hasira ya Bwana ikawaka dhidi yao, akawaacha. 10Wakati hilo wingu liliinuka kutoka juu ya Hema, Miriamu akawa tayari ana ukoma, mweupe kama theluji. Aroni akamgeukia, akaona ana ukoma. 11Kisha Aroni akamwambia Mose, “Tafadhali, bwana wangu, usituhesabie dhambi hii ambayo tumeifanya kwa upumbavu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.