Hesabu 12:7
Numbers 12:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini sivyo kwa mtumishi wangu Mose; yeye ni mwaminifu katika nyumba yangu yote.
Numbers 12:7 in English
Numbers 12:7 · Berean Standard Bible
But this is not so with My servant Moses; he is faithful in all My house.*
Context
5Kisha Bwana akashuka katika nguzo ya wingu, akasimama kwenye ingilio la Hema, akawaita Aroni na Miriamu. Wakati wote wawili waliposogea mbele, 6Bwana akasema, “Sikilizeni maneno yangu:
“Akiwapo nabii wa Bwana miongoni mwenu,
nitajifunua kwake kwa maono,
nitanena naye katika ndoto. 7Lakini sivyo kwa mtumishi wangu Mose;
yeye ni mwaminifu katika nyumba yangu yote. 8Kwake nitanena naye uso kwa uso,
waziwazi wala si kwa mafumbo;
yeye ataona umbo la Bwana.
Kwa nini basi ninyi hamkuogopa
kuzungumza kinyume cha mtumishi wangu Mose?” 9Hasira ya Bwana ikawaka dhidi yao, akawaacha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.