Native Bible

Numbers 12:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Aroni akamwambia Mose, “Tafadhali, bwana wangu, usituhesabie dhambi hii ambayo tumeifanya kwa upumbavu.

Numbers 12:11 in English

Numbers 12:11 · Berean Standard Bible

and said to Moses, “My lord, please do not hold against us this sin we have so foolishly committed.

Context

9Hasira ya Bwana ikawaka dhidi yao, akawaacha. 10Wakati hilo wingu liliinuka kutoka juu ya Hema, Miriamu akawa tayari ana ukoma, mweupe kama theluji. Aroni akamgeukia, akaona ana ukoma. 11Kisha Aroni akamwambia Mose, “Tafadhali, bwana wangu, usituhesabie dhambi hii ambayo tumeifanya kwa upumbavu. 12Usimwache awe kama mtoto mchanga aliyezaliwa akiwa mfu, ambaye nusu ya mwili wake imeharibika hapo atokapo katika tumbo la mama yake.” 13Hivyo Mose akamlilia Bwana akisema, “Ee Mungu, nakuomba umponye!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.