Native Bible

Numbers 11:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tunakumbuka wale samaki tuliokula huko Misri bila gharama, pia yale matango, matikitimaji, mboga, vitunguu, na vitunguu saumu.

Numbers 11:5 in English

Numbers 11:5 · Berean Standard Bible

We remember the fish we ate freely in Egypt, along with the cucumbers, melons, leeks, onions, and garlic.

Context

3Hivyo mahali pale pakaitwa Tabera,* kwa sababu moto kutoka kwa Bwana uliwaka miongoni mwao. 4Umati wa watu wenye zogo waliokuwa miongoni mwao walitamani sana chakula kingine, Waisraeli wakaanza kulia tena na kusema, “Laiti tungekuwa na nyama tule! 5Tunakumbuka wale samaki tuliokula huko Misri bila gharama, pia yale matango, matikitimaji, mboga, vitunguu, na vitunguu saumu. 6Lakini sasa tumepoteza hamu ya chakula; hatuoni kitu kingine chochote isipokuwa hii mana!” 7Mana ilifanana kama mbegu za giligilani, nayo ilikuwa na rangi ya manjano iliyopauka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.