Hesabu 11:34
Numbers 11:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo mahali hapo pakaitwa Kibroth-Hataava,* kwa sababu huko ndiko walipowazika watu ambao walitamani sana chakula kingine.
Numbers 11:34 in English
Numbers 11:34 · Berean Standard Bible
So they called that place Kibroth-hattaavah,* because there they buried the people who had craved other food.
Context
32Mchana kutwa na usiku kucha pamoja na siku nzima iliyofuata watu walitoka kwenda kuokota kware. Hakuna mtu yeyote aliyekusanya chini ya homeri kumi.* Kisha wakazianika kuzunguka kambi yote. 33Lakini walipokuwa wakila nyama, ilipokuwa ingali kati ya meno yao na kabla hawajamaliza kula, hasira ya Bwana ikawaka dhidi ya watu, naye akawapiga kwa tauni. 34Kwa hiyo mahali hapo pakaitwa Kibroth-Hataava,* kwa sababu huko ndiko walipowazika watu ambao walitamani sana chakula kingine. 35Kutoka Kibroth-Hataava watu wakasafiri mpaka Haserothi na kukaa huko.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.