Native Bible

Numbers 11:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kutoka Kibroth-Hataava watu wakasafiri mpaka Haserothi na kukaa huko.

Numbers 11:35 in English

Numbers 11:35 · Berean Standard Bible

From Kibroth-hattaavah the people moved on to Hazeroth, where they remained for some time.

Context

33Lakini walipokuwa wakila nyama, ilipokuwa ingali kati ya meno yao na kabla hawajamaliza kula, hasira ya Bwana ikawaka dhidi ya watu, naye akawapiga kwa tauni. 34Kwa hiyo mahali hapo pakaitwa Kibroth-Hataava,* kwa sababu huko ndiko walipowazika watu ambao walitamani sana chakula kingine. 35Kutoka Kibroth-Hataava watu wakasafiri mpaka Haserothi na kukaa huko.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.