Hesabu 1:47
Numbers 1:47 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hata hivyo, jamaa ya kabila la Lawi hawakuhesabiwa pamoja na wengine.
Numbers 1:47 in English
Numbers 1:47 · Berean Standard Bible
The Levites, however, were not numbered along with them by the tribe of their fathers.
Context
45Wanaume wote Waisraeli waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi la Israeli walihesabiwa kufuatana na jamaa zao. 46Jumla ya hesabu yao ilikuwa watu 603,550. 47Hata hivyo, jamaa ya kabila la Lawi hawakuhesabiwa pamoja na wengine. 48Bwana alikuwa amemwambia Mose: 49“Kamwe usihesabu kabila la Lawi wala kuwaweka pamoja katika hesabu ya Waisraeli wengine.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.