Native Bible

Numbers 1:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jumla ya hesabu yao ilikuwa watu 603,550.

Numbers 1:46 in English

Numbers 1:46 · Berean Standard Bible

And all those counted totaled 603,550.

Context

44Hawa walikuwa wanaume waliohesabiwa na Mose, Aroni na viongozi kumi na wawili wa Israeli, kila mmoja akiwakilisha jamaa yake. 45Wanaume wote Waisraeli waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi la Israeli walihesabiwa kufuatana na jamaa zao. 46Jumla ya hesabu yao ilikuwa watu 603,550. 47Hata hivyo, jamaa ya kabila la Lawi hawakuhesabiwa pamoja na wengine. 48Bwana alikuwa amemwambia Mose:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.