Hesabu 1:45
Numbers 1:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wanaume wote Waisraeli waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi la Israeli walihesabiwa kufuatana na jamaa zao.
Numbers 1:45 in English
Numbers 1:45 · Berean Standard Bible
So all the Israelites twenty years of age or older who could serve in Israel’s army were counted according to their families.
Context
43Idadi kutoka kabila la Naftali walikuwa watu 53,400. 44Hawa walikuwa wanaume waliohesabiwa na Mose, Aroni na viongozi kumi na wawili wa Israeli, kila mmoja akiwakilisha jamaa yake. 45Wanaume wote Waisraeli waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi la Israeli walihesabiwa kufuatana na jamaa zao. 46Jumla ya hesabu yao ilikuwa watu 603,550. 47Hata hivyo, jamaa ya kabila la Lawi hawakuhesabiwa pamoja na wengine.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.