Hesabu 1:43
Numbers 1:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Idadi kutoka kabila la Naftali walikuwa watu 53,400.
Numbers 1:43 in English
Numbers 1:43 · Berean Standard Bible
those registered to the tribe of Naphtali numbered 53,400.
Context
41Idadi kutoka kabila la Asheri walikuwa watu 41,500. 42Kutoka wazao wa Naftali:
Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao. 43Idadi kutoka kabila la Naftali walikuwa watu 53,400. 44Hawa walikuwa wanaume waliohesabiwa na Mose, Aroni na viongozi kumi na wawili wa Israeli, kila mmoja akiwakilisha jamaa yake. 45Wanaume wote Waisraeli waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi la Israeli walihesabiwa kufuatana na jamaa zao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.