Native Bible

Numbers 1:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Idadi kutoka kabila la Asheri walikuwa watu 41,500.

Numbers 1:41 in English

Numbers 1:41 · Berean Standard Bible

those registered to the tribe of Asher numbered 41,500.

Context

39Idadi kutoka kabila la Dani walikuwa watu 62,700. 40Kutoka wazao wa Asheri: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao. 41Idadi kutoka kabila la Asheri walikuwa watu 41,500. 42Kutoka wazao wa Naftali: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao. 43Idadi kutoka kabila la Naftali walikuwa watu 53,400.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.