Hesabu 1:39
Numbers 1:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Idadi kutoka kabila la Dani walikuwa watu 62,700.
Numbers 1:39 in English
Numbers 1:39 · Berean Standard Bible
those registered to the tribe of Dan numbered 62,700.
Context
37Idadi kutoka kabila la Benyamini walikuwa watu 35,400. 38Kutoka wazao wa Dani:
Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao. 39Idadi kutoka kabila la Dani walikuwa watu 62,700. 40Kutoka wazao wa Asheri:
Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao. 41Idadi kutoka kabila la Asheri walikuwa watu 41,500.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.