Native Bible

Numbers 1:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hawa walikuwa wanaume walioteuliwa kutoka jumuiya, viongozi wa makabila ya baba zao. Walikuwa wakuu wa koo za Israeli.

Numbers 1:16 in English

Numbers 1:16 · Berean Standard Bible

These men were appointed from the congregation; they were the leaders of the tribes of their fathers, the heads of the clans of Israel.

Context

14kutoka Gadi, ni Eliasafu mwana wa Deueli; 15kutoka Naftali, ni Ahira mwana wa Enani.” 16Hawa walikuwa wanaume walioteuliwa kutoka jumuiya, viongozi wa makabila ya baba zao. Walikuwa wakuu wa koo za Israeli. 17Mose na Aroni wakawachukua wanaume hao waliokuwa wamepewa majina yao, 18wakaita jumuiya yote pamoja katika siku ya kwanza ya mwezi wa pili. Watu wakaonyesha nasaba zao kwa koo zao na jamaa zao, nao wanaume waliokuwa na miaka ishirini au zaidi waliorodheshwa kwa majina, mmoja mmoja,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.