Hesabu 1:15
Numbers 1:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kutoka Naftali, ni Ahira mwana wa Enani.”
Numbers 1:15 in English
Numbers 1:15 · Berean Standard Bible
and from Naphtali, Ahira son of Enan.”
Context
13kutoka Asheri, ni Pagieli mwana wa Okrani; 14kutoka Gadi, ni Eliasafu mwana wa Deueli; 15kutoka Naftali, ni Ahira mwana wa Enani.” 16Hawa walikuwa wanaume walioteuliwa kutoka jumuiya, viongozi wa makabila ya baba zao. Walikuwa wakuu wa koo za Israeli. 17Mose na Aroni wakawachukua wanaume hao waliokuwa wamepewa majina yao,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.