Hesabu 1:14
Numbers 1:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kutoka Gadi, ni Eliasafu mwana wa Deueli;
Numbers 1:14 in English
Numbers 1:14 · Berean Standard Bible
from Gad, Eliasaph son of Deuel;
Context
12kutoka Dani, ni Ahiezeri mwana wa Amishadai; 13kutoka Asheri, ni Pagieli mwana wa Okrani; 14kutoka Gadi, ni Eliasafu mwana wa Deueli; 15kutoka Naftali, ni Ahira mwana wa Enani.” 16Hawa walikuwa wanaume walioteuliwa kutoka jumuiya, viongozi wa makabila ya baba zao. Walikuwa wakuu wa koo za Israeli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.