Nehemia 7:60
Nehemiah 7:60 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watumishi wa Hekalu wote na wazao wa watumishi wa Solomoni 392
Nehemiah 7:60 in English
Nehemiah 7:60 · Berean Standard Bible
The temple servants and descendants of the servants of Solomon numbered 392 in all.
Context
58wazao wa Yaala, Darkoni, Gideli, 59wazao wa Shefatia, Hatili, Pokereth-Hasebaimu na Amoni. 60Watumishi wa Hekalu wote na wazao wa watumishi wa Solomoni 392 61Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli: 62wazao wa //Delaya, Tobia na Nekoda 642
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.