Native Bible

Nehemiah 7:59 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wazao wa Shefatia, Hatili, Pokereth-Hasebaimu na Amoni.

Nehemiah 7:59 in English

Nehemiah 7:59 · Berean Standard Bible

the descendants of Shephatiah, the descendants of Hattil, the descendants of Pochereth-hazzebaim, and the descendants of Amon.*

Context

57Wazao wa watumishi wa Solomoni: wazao wa Sotai, Soferethi, Perida, 58wazao wa Yaala, Darkoni, Gideli, 59wazao wa Shefatia, Hatili, Pokereth-Hasebaimu na Amoni. 60Watumishi wa Hekalu wote na wazao wa watumishi wa Solomoni 392 61Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.